Dodoma: 94% ya Wabunge waikubali bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22

Dodoma: 94% ya Wabunge waikubali bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo bungeni.

Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22 imekadiria kutumia Tsh. Trilioni 36.26 na mabadiliko kadhaa ikiwemo kutoza kodi ya pango kwa kutumia mita za LUKU na kodi za muda wa maongezi.
 
Ingekuwa inatekelezeka kwa asilimia hizo walizoikubali ingependeza zaidi.
 
Wametishiwa na ****** ndio maana ila 23 wamekataa kumfata kichaa..
 
94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo bungeni

Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22 imekadiria kutumia Tsh. Trilioni 36.26 na mabadiliko kadhaa ikiwemo kutoza kodi ya pango kwa kutumia mita za LUKU na kodi za muda wa maongezi
Sio Wabunge ni WAJUMBE wa HALMASHAURI KUU waliopo ndani ya Jengo la BUNGE
 
Subfaa ilisikika kuwa haijapata kutokea, ni rekodi mpya!
 
Back
Top Bottom