Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sio Wabunge ni WAJUMBE wa HALMASHAURI KUU waliopo ndani ya Jengo la BUNGE94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo bungeni
Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22 imekadiria kutumia Tsh. Trilioni 36.26 na mabadiliko kadhaa ikiwemo kutoza kodi ya pango kwa kutumia mita za LUKU na kodi za muda wa maongezi
OvaSio Wabunge ni WAJUMBE wa HALMASHAURI KUU waliopo ndani ya Jengo la BUNGE