Dodoma: Ajifungulia kwenye choo cha Hospitali na kutupa kichanga

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Martin Otieno amesema kuwa Jeshi hilo linamshikilia mkazi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nasra Khalifa kwa tuhuma za kumtupa mtoto mchanga katika mtaro wa maji taka baada ya kujifungua usiku wa kuamkia Jumatano ya Septemba 13, 2022.

Mwananchi
 
Halafu akikua akawa supastaa kama mondi na omy wananzengo mnaanza kusema usimkatae mzazi ni laana!
 
Back
Top Bottom