Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Martin Otieno amesema kuwa Jeshi hilo linamshikilia mkazi wa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nasra Khalifa kwa tuhuma za kumtupa mtoto mchanga katika mtaro wa maji taka baada ya kujifungua usiku wa kuamkia Jumatano ya Septemba 13, 2022.
Mwananchi