Nikulegeza ubongo tu na kutambua hakuna mwanamke wako binafsi, ili hata likitokea la kutokea tayari akili yako imeshapata taarifa, hakuna mshkuto na utafanya maamuzi ya busara.Ninachomshukuru Mungu mapenzi nilishawaachia wanadamu wengine waendelee nayo, mi nimebaki mtazamaji tu.
Umegundua vipi alikua single maza mkuu?Unaoa single mother bado unakuwa na wivu wa mapenzi, ukioa bikra si utataka umfunge na kufuli la chuma?
Binafsi sina wivu wa kufikia kuuwa mkuu labda sababu ya pesa sio mbunye. Nimekua sasa wanawake nina experience nao kiasi chake Hawaeleweki Wanataka nini? Ni wewe kujiwekea priority mengine yatafwata. Kuna X wangu ameolewa na Kibopa ndoa ya Kanisani Kabisa lakini huwa ananiletea mbunye zikimjaa just imagine. Mwanamke ni Shetani ili muende sawa na wewe Unakuwa IbilisiExposure ni muhimu, muhimize mwanao wa kiume achape mbunye as much as possible.
Ajue kua mbunye ni zilezile.
😄😄😄😄😄 "chenye dosari tofauti".... we mzee nuksi sanaUnaenda tu kuopoa kifaa kipya chenye dosari tofauti
Maranguvillage nashangaa na vijana wa sasa wa kichaga na wawo wana wivu wa mapenzi eti😅, hii kitu inaitwa wivu wa mapenzi kwetu ni laana kabisa mangiBinafsi sina wivu wa kufikia kuuwa mkuu labda sababu ya pesa sio mbunye. Nimekua sasa wanawake nina experience nao kiasi chake Hawaeleweki Wanataka nini? Ni wewe kujiwekea priority mengine yatafwata. Kuna X wangu ameolewa na Kibopa ndoa ya Kanisani Kabisa lakini huwa ananiletea mbunye zikimjaa just imagine. Mwanamke ni Shetani ili muende sawa na wewe Unakuwa Ibilisi
Bwashee umeongea jambo la mbolea sana,inasemwa hivi siku zote jitayarishe mapema kwa tukio ambalo litakuumiza kwani litakapo kujia tayar utakuwa umeweka kinga mapema ya kisaikolojiaNikulegeza ubongo tu na kutambua hakuna mwanamke wako binafsi, ili hata likitokea la kutokea tayari akili yako imeshapata taarifa, hakuna mshkuto na utafanya maamuzi ya busara.
Mapenzi matamu na haswa umpate BICHWA KOMWE.Ila mapenzi.
Yaani huwa inatokea tu unakuta kwa baadhi ya vitu wivu hauzuiliki.
Bwashee leo nina ugwadu kilo saba 🙊Maranguvillage nashangaa na vijana wa sasa wa kichaga na wawo wana wivu wa mapenzi eti😅, hii kitu inaitwa wivu wa mapenzi kwetu ni laana kabisa mangi
Kabisa , na ukishajipenda zaidi ya yeyote , ufala wote utaupotezeaBwashee umeongea jambo la mbolea sana,inasemwa hivi siku zote jitayarishe mapema kwa tukio ambalo litakuumiza kwani litakapo kujia tayar utakuwa umeweka kinga mapema ya kisaikolojia
Mathalani tukio baya la mapenzi ni kuchapiwa,basi jua ipo siku unaweza kuchapia period
Tukio baya la biashara ni kufilisika,jua ipo siku unaweza filisika period
Yakitokea ya kutokea utayapokea angali ulijua huenda yangetokea
Sio mdau wa mapupu bwasheeBwashee leo nina ugwadu kilo saba 🙊
Upo sahihi mkuu. Ukisimamia Uanaume wako, Mwanamke hawezi kukupeleka puta lakini ukiwa simp hakuna rangi utaacha ona, Utahudumia kwa sababu umempenda alafu kuna masela anawapelekea wanakula bure tena ile ya kihuni ambayo mwenye mali hawezi ila kiasi hiko unacheza na Hawa nini? Aliongea na shetani sembuse sisi kina AdamMaranguvillage nashangaa na vijana wa sasa wa kichaga na wawo wana wivu wa mapenzi eti😅, hii kitu inaitwa wivu wa mapenzi kwetu ni laana kabisa mangi
Tusaidiane katika hili bwashee.Sio mdau wa mapupu bwashee
Kihuni huwa inakuwaje?Upo sahihi mkuu. Ukisimamia Uanaume wako, Mwanamke hawezi kukupeleka puta lakini ukiwa simp hakuna rangi utaacha ona, Utahudumia kwa sababu umempenda alafu kuna masela anawapelekea wanakula bure tena ile ya kihuni ambayo mwenye mali hawezi ila kiasi hiko unacheza na Hawa nini? Aliongea na shetani sembuse sisi kina Adam
Nikikufungia ndani mwaka usipo pata mimba , tusaini kabisa kuwa nakuchinja.Tusaidiane katika hili bwashee.
sawa twende niko tayari kuchinjwa.Nikikufungia ndani mwaka usipo pata mimba , tusaini kabisa kuwa nakuchinja.