Makanda Member Joined Oct 29, 2010 Posts 77 Reaction score 2 Nov 1, 2010 #1 Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu.
Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu.
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,092 Nov 1, 2010 #3 Nafikiri mzimu wake ulikuwa unafanya kazi pia huko si mchezo mwaka huu
C chanai JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 279 Reaction score 2 Nov 1, 2010 #4 Weka data hapa
Quinty JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 462 Reaction score 74 Nov 1, 2010 #5 Inafurahisha kuona watanzania wenzetu wa Bahi wamepima sera na si umaarufu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 1, 2010 #6 Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu. Click to expand... Upepo wa mageuzi ukianza kuvuma tu basi huvuma kila mahali haijalishi kama mgombea alifika au la hasha......................
Dodoma-Bahi Urais wagawana pasu CCM na CHadema wala DR Slaa hakuwahi kukanyaga hii inaashilia kuwa wimbi la sunami la Dr lilivyokuwa na nguvu. Click to expand... Upepo wa mageuzi ukianza kuvuma tu basi huvuma kila mahali haijalishi kama mgombea alifika au la hasha......................