escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Makes sense, mtu anatenguliwa lkn anaendelea kula same salary as yupo kwenye ile ile nafasi!!!Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa.
Ni kweli mkuu kabisa lakini Hata kama umejiajiri bajeti itakugusa tuSio kila mtu ni mwajiriwa boss. Na hata kama ni kupanda mishahara haijapandishwa na hilo bunge kibogoyo.
Ni kweli mkuu kabisa lakini Hata kama umejiajiri bajeti itakugusa tu
Urusi haijawahi kutoa msaada wa aina yo yote kwa nchi za kiafrika zaidi ya kuuza silaha zake kwa bei ya chee ili tuendelee kuuana!Katika kutoa shukrani kwa nchi wahisani sijaisikia Urussi sasa haya mahaba kwa hawa mabwana yanatokea wapi?
Inaonekana mkuu upo vizuri kiuchumi, Kwani ukiwa mfanyabiashara hujilipi mshahara?Sio kwenye mshahara boss.
Nadhani unaongelea nadharia zaidi! Katika hali ya kawaida mtu binafsi hajilipi mshahara bali anatumia na kujibana kadri inavyowezekana!Inaonekana mkuu upo vizuri kiuchumi, Kwani ukiwa mfanyabiashara hujilipi mshahara?
Au mwenzetu ndio wale unachota tu na kutumia bila mahesabu?
Yote kwa yote budget ni nembo na mipango ya taifa lelote, usiidhihaki👏
Utaratibu ni kujilipa mshahara huko kubana ni hulka au malengo ya mtu,Nadhani unaongelea nadharia zaidi! Katika hali ya kawaida mtu binafsi hajilipi mshahara bali anatumia na kujibana kadri inavyowezekana!
Mkuu wewe umekua,bajeti ya tz ni lini imekuwa msaada kwa raia?Kabla ya dhalimu kuingia madarakani na kuanza kuleta siasa za kiki, watu walikuwa wanavutiwa na bunge, na hata siku ya bajeti ilikuwa na mvuto. Ila alivyoligeuza bunge kuwa kibogoyo, na akanajisi uchaguzi wa 2020 hakuna mtu anayejitambua anafuatilia tena hilo bunge. Inshort hakuna mtu anafuatilia kinachoendelea huko bungeni, hivyo msome bajeti, msisome hakuna anayejali.