Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 inatija kubwa kwa taifa na raia kwa ujumla, kilichobaki ni utekelezaji na usimamizi yakinifu katika kusimamia yale yote yaliyoidhinishwa kwenye bajeti hiyo.
 
kwa hio hawa traffic wenye viherehere wa vya kung'ang'ania leseni zetu watafanyaje na leseni ziko kwenye simu ?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…