Ninafanya utafiti wa bei ya Ardhi dodoma kwa ujumla wake viwanja ukubwa kati ya square meter 600-1500
Mahitaji eneo la Ilazo na maeneo ya Jirani
kiwanja kilichopimwa na pia skwata iliyo rasimishwa
Ninauhitaji wa kiwanja.Pamoja na eneo la kilimo cha mboga mboga