Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Nadhani ungeliacha kujaza server za JF. Nobody is interested!Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Pili Novemba 13, 2025 likiendelea leo kwa shughuli kuu ya kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo kwa wabunge.
Leo ni tarehe 12.Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Pili Novemba 13, 2025 likiendelea leo kwa shughuli kuu ya kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo kwa wabunge.
Hili jukwaa ni la kila mtu,siyo lako na wenzio wenye mrengo wako,Nadhani ungeliacha kujaza server za JF. Nobody is interested!
Samahi sana najua msg yangu siyo friendly, but I am not targeting you, bali hicho kinachoendelea so called bunge nobody is interested