Dodoma Chang'ombe ndio home

Hiyo mitaa wanakaa vibaka sana . alafu sio kujianika hapa unazingua . kumbe wagogo wadwanzi
Hamna vibak man,chang'mbe ilikuw hivyo zaman San ila kwa sasa wazinguaji wengi wamedakwa na maporisi.umepita msako sasa hvi hakuna tena mambo ya kukabana tena.kuna mitaa sasa hvi ndo imeanza kuwa ivo kwa Dom.
 
Atakua ndo serengeti boy wa demis huyo

Nakumbuka demis alisema anaishi dodoma pia
 
We jamaa umekunja na T-shirt, umepiga magoti kitandani, umerembua😂😂😂 ili uje ututishe huku ndani??
Sema siku nyingine vunga usitume picha huku ndani.
Ukikutana na mwalimu wako wa kiswahili mpe salamu zako.
Wanaume wa mikoani 1 wanaume wa Dar 0.
 
Mwana karatee mwenzangu karibu saana JF
Ah asante sana brother, dah hayo ndo mambo yngu bro napenda San hiyo michezo.upo wapi brother cku nkutafute?napenda tizi sana,lakni cyo chuma.matizi nayoshindwa ni chuma
 
Mkuu wewe ni msukuma nini kwasababu watu wa chato kwa ushamba mnaongoza.
Mzee mmi cna huo ushamb unaomaanisha..ngepiga picha kifua wazi hapo ngeonekan ivo.ila ivo kawaida san.tatz nn hapo?
 
Kwa uthibitisho upi..?sema mwana kwa ili umezingua,umezingua dingi afu na mmi nione vpi hapo
Shida sana ,huyo ni mamiloo arifu ,Jf haina masikini arifu wala uhalisia ndio maana utashangaa unaulizwa maswali kama hiyo ghetto wanalala panya nk

Sema nini arifu piga moyo konde fuata yako achana na hayo mapepo

Sema sio mzuka kuweka vitu vyako personal humu ila inategemea pia na interests zako
 
Aman nyingi bro,matzi kwa afya tu cyo kwa vurugu wal nni.ikiwa ivo wanajesh mtaani wangeumiza watu maana mchezo wanaofundishwa ni mchezo hatariii Sana
 
Karibu Jf Man , ukisikia mwana yoyote huko anatafuta gari au anauza gari nicheki fasta tupige hela....Mimi naitwa Master of the game, muuzaji wa magari maarufu humu Jf.

Matusi na kejeli visikuumize sana,ni vile humu Jf hatuna desturi yakuweka picha zetu kwahiyo wengi wamestaajabu na kufadhaika...Haimaanishi kwamba watu wa humu sio wakarimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…