Dodoma city photo

Dom labda mwekezaji akawekeze mifugo
 
Kwa majengo gan marefu ya kuipita mwanza
 
Wakuu changamkeni,,sasahivi ndo muda wa kununua viwanja dodoma,,Dodoma itakuja badilika tu taratibu,,
Ni muhimu sana kimiliki site Idodomya,,
 
Unajua kujliwaza unahisi, subiri treni ikuharibikie Dodoma ndio utaweza kutofautisha Kati ya Kigoma na Dodoma.
Dodoma bado sana sehemu iliyochanamka aifikishi kilomita 10 unakuta poli na nyumba zimechoka.
 
Hivi kwenye mitandao huwa wagogo hawamo watete kwa nguvu mkoa na jiji lao maana watu wa mikoa mingine wanashambuliaaa hata sion defend ya kutoka dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili hiyo ya kupambana kama vijana wa Arusha, Dar na Mwanza hawana hao pusi wa ccm. Wapo busy wanakula viwavi jeshi a.k.a 'lya mwidebe' wanasubiri uchaguzi ufike wakaichague ccm warudi tena kwenye lya mwidebe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…