CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Ccm inapendwa na watu wa Aina gani ?Tunaposema CCM inapendwa muwe mnaelewa
Kwani Wewe unaichukia CCM be frank,Ccm inapendwa na watu wa Aina gani ?
Rejea urafiti wa Twaweza miaka michache iliyopita....
Ila CCM wana sare Nzuri Aise
Kijani inalipa Sana kwakweli,Umeona ehh [emoji3]
Ni nzuri zinakausha maji unadeki haraharakaIla CCM wana sare Nzuri Aise
Naona unaleta Uchadema wako hapaNi nzuri zinakausha maji unadeki haraharaka
Hii sio mwaka huuπππ
View attachment 2370019
Huu hapaCcm inapendwa na watu wa Aina gani ?
Rejea urafiti wa Twaweza miaka michache iliyopita....
Ukiwemo wewe mkuu. Hili chama ni habari ingine mzee. Ukilichukia utapanuka moyo bure πππ€£Ccm inapendwa na watu wa Aina gani ?
Rejea urafiti wa Twaweza miaka michache iliyopita....