Dodoma: Hatimaye kinara wa dawa za kulevya, Suleiman Mbaruku Suleiman aka Nyanda adakwa

Wahusika wakuu hawajaguswa na hawataguswa. Sele na Kimwaga, mpwa wake ni pushers tu. Dealers wenyewe hawatokuja kujulikana. Biashara ya drugs duniani ina ma tycoon mafia hatari. Tuiombee Tz.
 
Juzi nimewaona mateja wawili ke na me wanakokotana road asee wanatia huruma wameisha mpka unajiuliza hii ni starehe au adhabu? Huyo Nyanda anyongwe
 
Kwaiyo unashauri aachiwe?
 
Alafu kwanini wauza madawa wengi majina yao ni proud to be .....?
 
Madawa yanaharibu sana vijana.

Serikali iendelee kupambana nayo.

Watu kama hao hawana nafasi katika jamii zetu.
Mkuu kuna kazi nafanya ya muda hapa muhimbili karibu na rehab.. aisee ni hatari nguvu kazi nyingi ya taifa imepotea unakuta mtu madawa yamemfanya kawabkama babu wa miaka 100.
Huwa wanakuja clinic
 
Kuachiwa au kutoachiwa si hoja. Mfano unachoma nyavu ndogo za samaki lakini una viwanda vya nyavu ndogo na Kodi unakusanya,, unaonaje hiyo ni bidii au maigizo. Those days, unalalamika mifuko ya rambo na hujasimamisha viwanda vya rambo.
Kwaiyo unashauri wauzaji wadogo wa madawa wasikamatwe tukamate wakubwa tu?
 
Mkuu kuna kazi nafanya ya muda hapa muhimbili karibu na rehab.. aisee ni hatari nguvu kazi nyingi ya taifa imepotea unakuta mtu madawa yamemfanya kawabkama babu wa miaka 100.
Huwa wanakuja clinic
Nimeishi kinondoni miaka 8 ; uharibifu niliouona ni wa kiwango cha juu.

Vijana wanaharibika haswa.

Sasa mtu anapofanya hii biashara au ana sympathise na wahusika inashangaza.

Maana ni kitu kinachoharibu maisha ya watu.
 
We utakuwa unatumia Skanka sio bure,kwani teja kumfahamu ndio ishara kwamba ni mdogo?OK tufanye ni mdogo kweli huoni kwamba kumkamata yeye ndio wanaelekea tuwakamata wakubwa kupitia yeye?Mtu unaambiwa ni Kinara wa dawa za kulevya jijini Dodoma bado unasema mdogo?ana athiri watu wangapi hapo kwenye jamii?
 
Nasikia wanawake WANAPIGA SKANKA BALAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…