Dodoma: Hatimaye kinara wa dawa za kulevya, Suleiman Mbaruku Suleiman aka Nyanda adakwa

Mi nashauri tu watz wenzangu kuepukana na matumizi ya madawa ya kulevya na biashara ya madawa haya na kemikali bashirifu (Precursors)
Maana DCEA wamejipanga kisawasawa.na adhqbu zao hazibebeki kabisa. Mfano hao jamaa waliopatikana na kosa la uhalifu uliovuka mipaka automatically wana adhabu ya kifungo cha zaidi ta miaka 20 jumlisha na fine ambayo inaweza kukadiriwa ktk hali ya kukomoa kulikopitiliza.mfano unakutwa na dawa ya thamani ya Tshs 1,000,000 unapigiwa hiyo gharama kwamba iwe ni makusanyo ya wiki mara wiki 52 kwa mwaka alafu wakupigie kwamba umeifanya kwa miaka 10 nyuma.
Wanakufilisi na unabaki unadaiwa huku upo kifungoni.yani ukikuta mtu anavyotia huruma akikamatwa utamhurumia.tuamue kuwa salama na kubaki kitaa.hiki kitengo hakina huruma hata chembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…