Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Big up.Ikumbukwe kwamba leo 06/01/2024 kuna kongamano ndani ya Bunge la Tanzania kuhusiana na masuala ya Uchaguzi , na muundo wa Tume huru ya Uchaguzi .
Kwa muda fulani Dodoma ilijaa bashasha na shangwe nyingi , kiasi cha Wananchi kusahau kwa muda dhiki za Tanzania na kushangilia sana Chadema iliyoongozwa na Twaha Mwaipaya
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa
View attachment 2863795View attachment 2863797
Bavicha ndio tegemeo la vijana nchiniSafi sana sio wale VIWAVICHAWA.....
Taasisi bora ya vijana Barani africa na ya 3 DunianiWanajitahidi
Basi Dunia haina vijanaTaasisi bora ya vijana Barani africa na ya 3 Duniani
Kwa mshangao mkubwa sana mjadala kuhusu tume huru ya uchaguzi umeigharimu nchi yetu muda mrefu na mabilioni ya fedha tangu enzi za tume ya Jaji Warioba zaidi ya miaka mitano iliyopita.Ikumbukwe kwamba leo 06/01/2024 kuna kongamano ndani ya Bunge la Tanzania kuhusiana na masuala ya Uchaguzi , na muundo wa Tume huru ya Uchaguzi .
Kwa muda fulani Dodoma ilijaa bashasha na shangwe nyingi , kiasi cha Wananchi kusahau kwa muda dhiki za Tanzania na kushangilia sana Chadema iliyoongozwa na Twaha Mwaipaya
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa
View attachment 2863795View attachment 2863797
Kwenu wasira Bado kijana,ndo maana huoni umuhimu wa bavicha nchiniBasi Dunia haina vijana
Tunataka kukomesha uchafu huoKwa mshangao mkubwa sana mjadala kuhusu tume huru ya uchaguzi umeigharimu nchi yetu muda mrefu na mabilioni ya fedha tangu enzi za tume ya Jaji Warioba zaidi ya miaka mitano iliyopita.
Nchi zote za kidemokrasia duniani hata mataifa jirani zetu wanazo tume huru za uchaguzi. Wenzetu Kenya wameenda hatua kubwa zaidi kwa tume hizi kuweka hata mipaka ya majimbo ya uchaguzi.
Utaratibu wa kiongozi wa nchi kuwa ndiye mamlaka pekee ya uteuzi wa kamati za uchaguzi bila mchujo umebaki north korea na pengine tanzania pekee.
Inasikitisha kuona mpk sasa nchi bado yasubiri utashi wa kiongozi wa nchi ili kupata tume huru ya uchagizi. Lets hope jambo hili litahitimishwa mapema kwa salama.
Hata Sugu yuko BavichaKwenu wasira Bado kijana,ndo maana huoni umuhimu wa bavicha nchini
Haya maandamano ya Bavicha ni turufu kwa ccm kwa wahisani wao. CCM itasema nchi hii ina demokrasia ndiyo maana Bavicha wameruhusiwa kuandamana na kuleta maoni yao.Lets hope jambo hili litahitimishwa mapema kwa salama.
Unamshangaa Sugu?? Mbona hujamshangaa mzee Wasira ambabye bado yupo UVCCM??Hata Sugu yuko Bavicha
Aya nenda kachume mboga Kwa MtoroTaasisi bora ya vijana Barani africa na ya 3 Duniani
hayaYule mzee wa jazba,Mwenyekiti wa wazee wa Chadema kutoka Zanzibar msimsahau na pumba zake.Hajui hata mada zilizopo.
Ruzuku hiyoIkumbukwe kwamba leo 06/01/2024 kuna kongamano ndani ya Bunge la Tanzania kuhusiana na masuala ya Uchaguzi , na muundo wa Tume huru ya Uchaguzi .
Kwa muda fulani Dodoma ilijaa bashasha na shangwe nyingi , kiasi cha Wananchi kusahau kwa muda dhiki za Tanzania na kushangilia sana Chadema iliyoongozwa na Twaha Mwaipaya
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa
View attachment 2863795View attachment 2863797