Wanaosema ccm haijui kuplan miradi mikubwa na wakomee kabisa, walegeee. Yule architect mturuki aliye pewa tenda ya kudesign Msalato International Airport kesha maliza kazi yake
Hii ndio miradi tunayo ihitaji Tanzania.. uwanja huu utakua na urefu wa KM 6 (runway).. ndege kama 30 kupaki kwa mara moja.