Dodoma International Airport.. CCM Oyeeee


Report ya mkurugenzi runway ni km 9, na kama ni ndege thelathini zinapaki mbona viungio vipo kama 45?
 
Kama kweli kitajengwa itakuwa powa sana. Ila sasa kitajengwa lini? Nina mashaka huyu rais akisepa hiki kiwanja kitabaki kwenye picha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mturuki ni kampuni ya Tunisia. Studi International.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali mengine ni yakijinga sana .. hapa dar wanaopanda ndege ni wazaramo ?
Wangetafuta msaada wa moja kwa moja wa kuwasaidia majority ya wenyeji wa Dodoma.

Viwanja vya ndege vilivyopo havitoshi kwa 100% lakini at least...so nguvu kubwa ingeenda kwenye mradi mwingine wa kiuchumi wa mkoa huo

Airport bado itawanufaisha zaidi wajao pekee na wengi watakuja kwa Quartery works only.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna shida gani wewe umesoma ukifanya kazi dodoma, (mfano) mgogo hajasoma hatumpi, ili pate muamko wa kupeleka wanae shule(Katika kazi za kitaaluma),Na kwenye biashara si ni project nyingi za miundombinu zinafanyika huko sasa watafaidika nazo kwa biashara ndogo ndogo wanazozimudu.. sisi ni watanzania na tanzania ni yetu sote,
 
kumbe ni jokes/udaku.......nilikuwa sijacheck jukwaa
 
Hii Ni msalato runway to mahomanyika
 
vip mbona unashangilia michoro
 
Ndege 30 tu kupaki kwa maramoja. Sasa huo uwanja mbona mdogo sana. Tunataka Ndege 200 kupaki kwa maramoja na zaidi ya mbili kiruka na kitua kwa kila dakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni proposed new airport katika jimbo la Bulacan ufilipino.
DOTr to expedite Swiss challenge to the Bulacan airport proposal
 
Watasubiri sana, ccm tumeshika hatamu ya maendeleo.

Halafu msije lia kuwa maisha magumu wakati JIWE[ kama atakuwa hai] atakapoanza kulipa hiyo mikopo na riba yake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…