mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Sina maneno mengi ila Yanga wameiba mchezaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watford..? [emoji15][emoji15][emoji15]Sina maneno mengi ila Yanga wameiba mchezajiView attachment 1877303View attachment 1877304
View attachment 1877302
Yeah alihitajika Wattford ila utopolo wakamlaghaiWatford..? [emoji15][emoji15][emoji15]
Hizo Ni fake news from fake accountsYeah alihitajika Wattford ila utopolo wakamlaghai
Itakua watford ya bongo hapa kwa NyerereYeah alihitajika Wattford ila utopolo wakamlaghai
Ni mchezaji mzuri Kwa wachezaji wa ndani ata Gomez amewahi kusema anapenda uchezaji wake ila sio lengo kumnunua na tatizo linakuja Simba kuna mawinga wa kigeni hatari zaidi yake kiasi kwamba uhakika wa namba haupo maana mtu kama Morrison anatumika kama backup si hatari hiyoAmbundo anajua, atafuzu majaribio.
Nashangaa Simba sc haikumuona.
Hakuna mchezo wowote chief, Ambundo amesajiliwa Yanga muda mrefu, na account iliyopost eti anaenda majaribio Watford sio ya Dodoma jiji ni Fake AccountHii inshu ndani ya Dodoma jiji kuna chezo limechezwa na baadhi ya viongozi,Ambundo anasaini Yanga a.k.a Utapu tapu fc.
Kwahiyo usemaje?Hii inshu ndani ya Dodoma jiji kuna chezo limechezwa na baadhi ya viongozi,Ambundo anasaini Yanga a.k.a Utapu tapu fc.
Nashkuru kwa ufafanuzi,kwaiyo taarifa za viongozi wa Dodoma kudai kuwa Ambundo bado ni mcheza wao ni uzushi?Hakuna mchezo wowote chief, Ambundo amesajiliwa Yanga muda mrefu, na account iliyopost eti anaenda majaribio Watford sio ya Dodoma jiji ni Fake Account
Kwa sasa Yanga inaweza kuifanya timu yoyote jambo lolote, hata Barbara tunaweza kumsajili.Hii inshu ndani ya Dodoma jiji kuna chezo limechezwa na baadhi ya viongozi,Ambundo anasaini Yanga a.k.a Utapu tapu fc.
Washaurini waende kwa Karia ili kuangalia mkataba kama una makosa.Nashkuru kwa ufafanuzi,kwaiyo taarifa za viongozi wa Dodoma kudai kuwa Ambundo bado ni mcheza wao ni uzushi?
hata Barbara tunaweza kumsajili.
Hawa washabiki wa Yanga fc nawashangaa sana.Kutoka watford hadi Mataputapu fc...