Dodoma jiji Fc to Wattford fc, Wattford fc to Yanga sc hii apa

Ambundo anajua, atafuzu majaribio.
Nashangaa Simba sc haikumuona.
Ni mchezaji mzuri Kwa wachezaji wa ndani ata Gomez amewahi kusema anapenda uchezaji wake ila sio lengo kumnunua na tatizo linakuja Simba kuna mawinga wa kigeni hatari zaidi yake kiasi kwamba uhakika wa namba haupo maana mtu kama Morrison anatumika kama backup si hatari hiyo

Kwa wazawa kumbuka Simba ina kijana fundi kama Sheva ila hapati nafasi, form ya Sheva kipindi anapata namba alikuwa Sawa na akina ambundo wawili Ila Kwa upande wa Yanga anawafaa maana ana takwimu nzuri kulingana na wachezaji wa Yanga
 
Tazama makala kali za historia za wachezaji na mpira kwenye chanel yetu pendwa ..

Bofya link [emoji116][emoji116][emoji116]


Usisahau kusubscribe kucomment na kulike.
 
Hii inshu ndani ya Dodoma jiji kuna chezo limechezwa na baadhi ya viongozi,Ambundo anasaini Yanga a.k.a Utapu tapu fc.
Hakuna mchezo wowote chief, Ambundo amesajiliwa Yanga muda mrefu, na account iliyopost eti anaenda majaribio Watford sio ya Dodoma jiji ni Fake Account
 
Hakuna mchezo wowote chief, Ambundo amesajiliwa Yanga muda mrefu, na account iliyopost eti anaenda majaribio Watford sio ya Dodoma jiji ni Fake Account
Nashkuru kwa ufafanuzi,kwaiyo taarifa za viongozi wa Dodoma kudai kuwa Ambundo bado ni mcheza wao ni uzushi?
 
Kutoka watford hadi Mataputapu fc...
Hawa washabiki wa Yanga fc nawashangaa sana.
Timu ikikosa matokeo siku moja tu wanaipa Jina la kejeri.
Hivi wanataka timu ishinde mechi zote.
Timu gani yenye uwezo huo duniani.
Waache Tabia ya kuifedhehesha timu.
Kuipa majina ya ajabu ajabu kama hili la.
Utaputapu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…