Dodoma Jiji na nyumba za tope kuelekea katikati ya Jiji

Acha kutoa povu.

Hata vigezo vya kuwa jiji sijui kama kweli vimetimia ila tambua tu muonekano wa mji bado hauendani na hadhi ya Jiji.
 
unazoziona nyumba za tope pameshapimwa
lakini ufahamu dar kuwa jiji aailimia kubwa nyumba zilikuwa mbavu za mbwa na tanga navyo vivyo hivyo nyumba mbavu za mbwa paa makuti usiishangae wala kuhoji Dodoma
 
Chadema ilikuchukulia mke au vipi? Sijaona chadema kwenye post yake.. Ukitembea dunia ndo unaweza elewa anachokiongea....anyway inawezekana sio tatizo lako.
 
lakini ufahamu dar kuwa jiji asilimia kubwa nyumba zilikuwa mbavu za mbwa na tanga navyo vivyo hivyo nyumba mbavu za mbwa paa makuti usiishangae wala kuhoji Dodoma
uko sahihi mkuu Mleta mada jinga Fulani hivi kwake kigezo ni aina ya nyumba aisee chadema imejaza makokoro ambayo vichwani sifuri
 
uko sahihi mkuu Mleta mada jinga Fulani hivi kwake kigezo ni aina ya nyumba aisee chadema imejaza makokoro ambayo vichwani sifuri
We ndii mpuuzi na mjinga usioelewa.Uko kama roboti.Umeelewa nilichoandika hapo?
 
Patabadilika kwa kuwa target yote imeelekezwa huko, soon gavana wa BOT na Mh Rais akihamia huko wataendelea kushirikiana na wizara ya Ujenzi kuweka mambo sawa,pia hapo ni watanzania wanaishi; inajulikana sisi ni masikini haina haja ya kumficha mgeni ambaye kila mradi kuanzia afya mpaka elimu anahusika katika maboresho...kama hapa Dar Maghorofa yanavyoficha mitaa ya nyuma yake ilivyo mibovu kuanzia sewage system hadi Barabara za kuingia makazi ya watu Jiji la Dodoma na miji yote inakabiliwa na hali hii,swala la msingi kabla watu hawajajaa sana miundo mbinu iboreshwe,pia napendekeza hawa watu wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mji mpya ule unaojengwa na NHC/Mifuko yahifadhi ya jamii..
 
Kwani Ubungo, Kariakoo, Manzese, Buguruni zilikuwaje? Au umekuja Dar miaka ya karibuni?

Roma haikujengwa siku moja
 
Salary Slip, mwaka 1978 hapa Dar, mbwa alikuwa anaweza kutoka mitaa ya ocean road akiwa mwenyewe na akaenda mpaka posta mpya na akarudi nyumbani. Magari yalikuwa ni ya kuhesabu. Sasa hivi mbwa huyo akijaribu tu kuvuka barabara yoyote ya katikati ya jiji basi anagongwa na kufa dakika hiyo hiyo.

Dodoma ya 2018 sio ile ya 2048, kumbuka kuwa maisha yanaendelea siku zote, na binadamu anazaliwa anaishi na anakufa, huku akiwaachia wengine ulimwengu huu.
 
We jua tu hiyo Ipagala ninayoitaja ni kama dakika tano tu kutoka town center kwa gari.

Hoja yangu ni kwamba,kuna vitu vingi vya kurekebisha ili mji uendane na hadhi ya kuitwa jiji.
Tatizo wanaisifu mno Dodoma kabla ya kuifanyia mabadiliko.Sidhani hata Stendi wanayo.
 
Slowly by slowly hata Rome haikujengwa kwa siku moja.
Sawa lakini jenga kwanza kabla ya kuipa hadhi.cha kwanza ilikua kuondoa hvyo vijumba vya nyasi slowly kma ulivyosema kabla ya kuitwa jiji....umeelewa.sio kuitolea mfano rome kla kukicha bila sababu...rome haikuja kizembe hvyo...
 
unazoziona nyumba za tope pameshapimwa
lakini ufahamu dar kuwa jiji aailimia kubwa nyumba zilikuwa mbavu za mbwa na tanga navyo vivyo hivyo nyumba mbavu za mbwa paa makuti usiishangae wala kuhoji Dodoma
Tatizo wanaisifu mno Dodoma kabla ya kuifanyia mabadiliko.Sidhani hata Stendi wanayo.
Hakuna ch stand ya maana wala soko.Ndio sasa waanaanza kujenga stand na soko.
 
mleta mada si chadema ni CCM mwenzako kwani mada yeyote lazima uihusishe na mbowe na chadema? Acha kuishi kwa kukariri
 
Sawa lakini jenga kwanza kabla ya kuipa hadhi.cha kwanza ilikua kuondoa hvyo vijumba vya nyasi slowly kma ulivyosema kabla ya kuitwa jiji....umeelewa.sio kuitolea mfano rome kla kukicha bila sababu...rome haikuja kizembe hvyo...
acha hizo nyumba ziwepo ndiyo itasaidia kuijenda hilo jiji haraka na kwa kasi kubwa, kwani kila wakipita wakaziona watahamasika zaidi kubiresha mji wa Dodoma.
 
chadema hamjawai kuacha ujinga wenu sijui mtakua lini!!!?
mleta mada ni CCM mwenzako acha kuwasingizia chadema pia kama mna Akili mbona wapinzani wakihama chadema huwa mnawarudisha tena kugombea ubunge na udiwani?
 
Mbona hata Dar, bado ni Kijij?
 
Rome was not built in one day. Hizo za udongo zitabadilishwa kuwa maghorofa, huo uwanja wa Msalato utakua bize tu ngoja mabalozi na wageni wengine wahamie Dodoma.
Uwe unatazama kipindi cha Marin Hassan kiitwacho "Safari ya Dodoma" kila Jumatano kama leo saa 3:30 usiku TBC1 TV utaelimika zaidi kuhusu kuibadili Dodoma
 
Bado hujakutana na fisi ndio utashangaa zaidi
 
acha hizo nyumba ziwepo ndiyo itasaidia kuijenda hilo jiji haraka na kwa kasi kubwa, kwani kila wakipita wakaziona watahamasika zaidi kubiresha mji wa Dodoma.
Kweli mkuu wacha ziwepo za tope si ndio maanzari ya mji zitafutika tu kwenye ramani,, tukubaliane, tusikubaliane mji wa Dodoma umejengwa kimpangilio ndo maana inastahili kuitwa jiji. Haiwezekani mji anaokaa raisi uitwe halmashauri, halafu anakokaa mkuu wa mkoa kuitwe jiji aah! Jamani tena mnabahati sasa mungenipe Mimi urais, ningeuita jiji lilioendelea (Dodoma Dc) hayo mengine yanafuata kwa fedha za ndani zingine kamkopo humohumo, shida nini likiwa jiji!!?
 
Mbona Kariakoo zipo nyumba zilizojengwa kwa fito na tope hivyo Dodoma kuwa nazo ni ajabu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…