Dodoma Jiji na nyumba za tope kuelekea katikati ya Jiji

Tatizo wanaisifu mno Dodoma kabla ya kuifanyia mabadiliko.Sidhani hata Stendi wanayo.
Kwani ulishukia wapi ulipokuja Dodoma? Uliposhukia ndo stand yako, wewe unataka uchelewe kufika uanze kusema nilikutana na mtu ninayemfahamu kanichelesha stand aah rudi nyumbani kumenoga.
 
Sawa lakini jenga kwanza kabla ya kuipa hadhi.cha kwanza ilikua kuondoa hvyo vijumba vya nyasi slowly kma ulivyosema kabla ya kuitwa jiji....umeelewa?.
Kwa hiyo serikali ndio ijenge hizo nyumba za watu binafsi halafu ndio i itangaze jiji? Chadema you are foolish.Kwa maelezo yako hata kike kajumba cha makao makuu ya chadema hakikustahili kuitwa makao makuu walitakiwa wajenge kwanza lakini si kuita makao makuu kijumba kama kile
 
Mbona Dar na Arusha vipo hamjalalamika?
 
mleta mada ni CCM mwenzako acha kuwasingizia chadema pia kama mna Akili mbona wapinzani wakihama chadema huwa mnawarudisha tena kugombea ubunge na udiwani?
Ni vile hamjijui tu, hata lowasa ni ccm alikuja kwa mipango hapo ambayo hata wenyewe hamuijui.
 
Aisee chadema wameingia vipi hebu soma tena halaf ndyo u comment
 
Cha ajabu hata kariakoo kuna nyumba za miti. Ni mambo ya kushangaza sana.
 
Arusha zaidi ya pele mjini maeneo mengine ni aibu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…