Mpeni tu Maua yake aliyeamua hili gemu lipigwe muda huu...!
Imagine Yanga Kashindwa kuvuka makundi, rekodi ya Mwakarobo CL ni ya Mnyama tu Tanzania Yote.....
Halafu sasa, Halftime ana bao mbili...
Yaani Bia inashuka yenyewe kwenye koo tartiiiiib.... Kweli lile balaa la Oct 29 unasahau kbs japo Kwa Muda..