TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ,Bw Yusuph Juma Mwenda amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ya kusimamia ulipaji wa kodi kwa hiari. Ameyasema hayo wakati akifunga kikao cha nne cha Baraza la Wafanyakazi wa TRA jijini Dodoma leo tarehe 04.03.2025.