johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ahsante mkuu, naona umewahurumia sana.Toka niwe mfuayiliaji Mambo ya Bunge hamna kipindi Cha hovyoo ambacho Bunge halina thaman Kama hili, Raia hawajui Kama Kuna Bunge linaendelea, Bunge limekosa mvuto, limekuwa la kusifu na kutetea serikali badala ya kutetea raia wake.
Natoa wazo ipitishwe sheria kabisa kwa wabunge walau wawe na elimu ya kuanzia ( form vi ) six hii itatupa watu amabao wanaweza kusimamia muhimili mwingne, wenye kufanya reasoning, sio Hawa kina mlinga kila siku kuomba miongozo na utaratibu kwa Mambo muhimu ya Nchi.
Kama polisi wanachukukliwa kuanzia form iv na kazi zao hazihitaji kutumia akili sanaaaaa, leo Mbunge ambaye ndiye mtunga sheria wa Taifa Hana qualifications zinazomtaka awe nazo?? Mbali na yakujua kusoma na kuandika!!!!
Zama zimabadilika watanzania tunahitaji wabunge wenye uwezo wakuhoji na kuikosoa serikali bila kujali itikadi ya vyama.
Kikao cha Bunge kimekosa mvuto kama kikao cha harusi cha maselaBunge ambacho ndiyo kikao kikubwa kabisa ndani ya taifa letu leo kinaanza rasmi kule Dodoma lakini wananchi almost 90% hawana hata muwasha washa wa kujua ni nini kinakwenda kujadiliwa huko - yaani Bunge limefikia stage kama vile kikao cha chama cha kata
Bunge limekosa mvuto kabisa !! kuna jambo halipo sawa hapa.
Kusoma sio hoja, mbona wabunge wa ccm ukiacha kina Lusinde, wapo walio soma vizuri tuu lakini ukimpa nafasi azungumze ni kichefuchefu mtupu!Toka niwe mfuayiliaji Mambo ya Bunge hamna kipindi Cha hovyoo ambacho Bunge halina thaman Kama hili, Raia hawajui Kama Kuna Bunge linaendelea, Bunge limekosa mvuto, limekuwa la kusifu na kutetea serikali badala ya kutetea raia wake.
Natoa wazo ipitishwe sheria kabisa kwa wabunge walau wawe na elimu ya kuanzia ( form vi ) six hii itatupa watu amabao wanaweza kusimamia muhimili mwingne, wenye kufanya reasoning, sio Hawa kina mlinga kila siku kuomba miongozo na utaratibu kwa Mambo muhimu ya Nchi.
Kama polisi wanachukukliwa kuanzia form iv na kazi zao hazihitaji kutumia akili sanaaaaa, leo Mbunge ambaye ndiye mtunga sheria wa Taifa Hana qualifications zinazomtaka awe nazo?? Mbali na yakujua kusoma na kuandika!!!!
Zama zimabadilika watanzania tunahitaji wabunge wenye uwezo wakuhoji na kuikosoa serikali bila kujali itikadi ya vyama.
Hao ccm baada ya kushindwa kufungua viwanda sasa wanataka kuzigeuza taasisi za serikali kuwa ndio viwanda vya kusambaza virusi vya korona.Hawaogopi korona au dawa tunayo ndio maana hata hatuna wasiwasi?
Toka niwe mfuayiliaji Mambo ya Bunge hamna kipindi Cha hovyoo ambacho Bunge halina thaman Kama hili, Raia hawajui Kama Kuna Bunge linaendelea, Bunge limekosa mvuto, limekuwa la kusifu na kutetea serikali badala ya kutetea raia wake.
Natoa wazo ipitishwe sheria kabisa kwa wabunge walau wawe na elimu ya kuanzia ( form vi ) six hii itatupa watu amabao wanaweza kusimamia muhimili mwingne, wenye kufanya reasoning, sio Hawa kina mlinga kila siku kuomba miongozo na utaratibu kwa Mambo muhimu ya Nchi.
Kama polisi wanachukukliwa kuanzia form iv na kazi zao hazihitaji kutumia akili sanaaaaa, leo Mbunge ambaye ndiye mtunga sheria wa Taifa Hana qualifications zinazomtaka awe nazo?? Mbali na yakujua kusoma na kuandika!!!!
Zama zimabadilika watanzania tunahitaji wabunge wenye uwezo wakuhoji na kuikosoa serikali bila kujali itikadi ya vyama.
KWAYA SIO UKRISTO SHEKH. soma hapa tofauti ya kwaya na kaswida.Kwaya maalumu? Vipi kuna kaswida maalumu pia huko?
Hiyo siyo TBC ni TVBunge