Dodoma: Kikao cha Bunge chaanza, wimbo wa Taifa waimbwa na kwaya maalum

Tatizo wengi lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipoelewa na hapa basi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA kuna wanakwaya zaidi ya aroibaini wameambukuzana Corona virus kwa sababu ya kuimba. Kulikuwa hakuna haja ya kuleat wanakwaya! Kama mmoja tu ana virus basi ataambukiza wengi kutokana na matone madogo sana ya mate yanayotoka wakati wa kuimba.
 

Nashukuru kwa Elimu mujarabu, ngoja nifuatilie maudhui yaliyomo kwenye husika na wapi imetoka ili nihitimishe..
 
Aina ya wabunge tulionao bungeni ni sawa na wewe katika kufikiri kwasababu wanashindwa kuyatofautisha hoja ya mtu na mtu mwenyewe, hoja ni qualifications zibadilishwe za mtu kuwa mgombe wewe unajadili mtoa hoja!!! Jifunze ku-hit point acha kuwaza nyuma ya kalio lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…