Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mimi nataka wafanye tambiko la kumtoa kafara Mama yao ili nchi ipone!Kiongozi wa Machifu wa Mkoa wa Dodoma, Chifu Yasin Bilinji amesema kuwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, tambiko limeandaliwa mkoani Dodoma kwa lengo la kuombea uchaguzi huo ufanyike kwa amani.
Amesema kuwa kufanyika kwa amani na utulivu kwa uchaguzi huo ni mojawapo ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Pia, ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili waweze kuchagua viongozi wanaowataka kwa ajili ya kuwaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Chifu WA mchongo eti Yasin KirangaKiongozi wa Machifu wa Mkoa wa Dodoma, Chifu Yasin Bilinji amesema kuwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, tambiko limeandaliwa mkoani Dodoma kwa lengo la kuombea uchaguzi huo ufanyike kwa amani.
Amesema kuwa kufanyika kwa amani na utulivu kwa uchaguzi huo ni mojawapo ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Pia, ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili waweze kuchagua viongozi wanaowataka kwa ajili ya kuwaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Hatari sanaHawa Machifu wa siku hizi wanapangwa tu.
Kuna dogo kapewa Uchifu familia yake haipo kabisa kwenye line yoyote mpaka tumeshangaa huko.