Dodoma: Mashabiki wa Simba na Yanga, wakausanya fedha kwa ajili ya kumzawadia kiwanja daktari anayewahudumia

Dodoma: Mashabiki wa Simba na Yanga, wakausanya fedha kwa ajili ya kumzawadia kiwanja daktari anayewahudumia

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja.

Hali hii imejithiirisha katika kijiji cha Ngomai, kata ya Ngomai wilayani Kongwa, ambapo mashabiki wa Simba na Yanga, wameamua kutumia utani kukusanya fedha kwa ajili ya kumzawadia kiwanja daktari Peter Mwakalosi anayewahudumia.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Septemba 23, 2024, Mwenyekiti wa Kijiji wa Ngumai, Sospeter Chamasi amesema waliamua kufanya hivyo kutokana na daktari huyo kujituma kwa bidii.
 
Back
Top Bottom