Dodoma mjini- bei za frem ya biashara

Msomaji2

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
17
Reaction score
38
Habari wakuu, napenda kufahamu bei za frem za biashara dodoma zinaendaje
.
Biashara kama
1. Furniture
2. Mapazia, mashuka, godoro, neti,
3. Hardware
...
Napenda kufamu bei za frem na mzunguko wa biashara wa hivyo vitu

Pia kupata experience ya dodoma palivyo kwa biashara

..
Ahsanten[emoji120]
 
Fremu za dodoma zinarange 300k -700k,inategemea na ukubwa wa frame,chache sana utapata kwa 200k.
 
Kama wewe ni zabibu unaweza kuishi dodoma, sitaisahau 2012-2015 nilinyooka sana πŸ™ŒπŸΌ Hata kupita sitak ni bora nipitie angani nisioone dodoma πŸ˜’
Duh, mm basi Nina shida, naenjoy kuishi dom
 
Sitaisahau dodoma..nliishi nikiwa nimefulia.nilikua kama kikongwe,nilipaukaa,nilifubaa
miezi miwili nkasema imetosha narudi dar.nliporudi dar siku mbili nkarudi ujanani.
Hali ya hewa ya dodoma ni mbaya, maji yake pia sio mazuri halaf jumlisha ulikuwa umefulia [emoji23][emoji23]
 
Mkuu tufafanulie maana mi nimeshajiunga,Sasa nashuka hapa ndio naiona comment Yako
Mpuuze amekurupuka kama mlevi,utamtuhumu vipi mtu ni tapeli bila ya ushahidi wowote wa mtu aliyetapeliwa wala bila ya skendo yoyote.
Hao ni aina ya watu wanaotumia vibaya uhuru wa JF kwa sababu ya hidden IDs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…