Dodoma mjini hii ni yenu

Dodoma mjini hii ni yenu

MGOGO27

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
459
Reaction score
218
TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Chama cha demokrasia na Maendeleo Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)wilaya ya Dodoma mjini tunawatangazia
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]

Viongozi/Wapambanaji/Wanachama/Wananchi/Wapenda HAKI wooote


Tunawatangazia ratiba ya kesi zitakazo sikilizwa hapa WILAYANI DODOMA MJINI
ndani ya MWEZI HUU kama ifuatavyo

Tarehe 19-20/09/2016
Kutakuwa na muendelezo wa kesi ya viongozi wa bavicha TAIFA wakiongozwa na mwenyekiti wao

Tarehe 22/09/2016
Kutakuwa na kusomwa kwa kesi ya kamanda wetu John Alex Massao,ile ya makosa ya mtandao

Tarehe 26/09/2016
Kutakuwa na kesi ya Mjumbe wa baraza kuu kamanda KASAMBALA J,kesi yake itasikilizwa

Tarehe 27/09/2016
Kutakuwa na kesi ya Makamanda wetu wapambanaji wasomi wa vyuo vyetu hapa Dodoma CHASSO kesi yao itakuwa inaendelea

TUNAWAOMBA MFIKE MAHAKAMANI BILA KUKOSA KWAKUWA CHADEMA TUNAJIVUNIA NGUVU YA UMMA
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
pamoja na salamu za chama tunaomba mfike kwa wingi

Imetolewa na

Mathias P Raymond
(K/Katibu wa wilaya)
 
Back
Top Bottom