DODOMA: Nabii Tito afutiwa mashtaka baada ya kubainika ana matatizo ya akili

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,818

Mahakama ya Wilaya Dodoma imemfutia Onesmo Machibya ‘Nabii Tito’ mashtaka ya jaribio la kutaka kujiua baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kuwa ana matatizo ya akili.

Baada ya kutoa hukumu hiyo leo, Hakimu wa Mahakama hiyo, James Karayemaha ameamuru atibiwe
 
Yote hayo yanaonesha si vyema kumhukumu mtu pasipo kufanya uchunguzi wa kuthibitisha tuhuma unazozitoa.
 
Mmmh bado Dr. Shika soon na yeye atawekwa mtandaoni. Miluzi miiingiii ila mi mbwa wangu ataendelea kubweka one, one one . Triiiii
 
hawawezi kutuamisha kwenye mada ya 1.5trillion kwenye ujinga wao huo, na haami mtu na wala hatusahau kila siku ni rudisha 1.5tr.
 
Kwahiyo ataendelea na maubiri yake kama kawaida sio?
 
Ila ukibahatika kukutana ma huyu kisha ukimsikiliza mahubiri yake huna haja hata ya kumpeleka mirembe mwenye akili unajuwa kabisa dishi limecheza.
 
Nabii Titto wa Press Conference atatibiwa wapi?
 
Tumeendelea siku hizi.
Kidogokidogo tunaanza kuingia uchumi wa kati.
Vichaa hawatavaa magunia na kula majalalani tena bali watakuwa mpaka acount bank.
Nikimjua aliyetufikisha hapa naacha kazi ili nimuunge mkono kwa juhudi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…