milionea wa kesho JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 328 Reaction score 633 Jul 22, 2019 #1 Nawasalimu wafanyabiashara! Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki. Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane. Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji.
Nawasalimu wafanyabiashara! Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki. Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane. Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji.
Fenuchi Senior Member Joined May 5, 2019 Posts 116 Reaction score 38 Jul 22, 2019 #2 milionea wa kesho said: Nawasalimu wafanyabiashara! Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki. Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane. Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji. Click to expand... Unanunua kwa bei gani boss
milionea wa kesho said: Nawasalimu wafanyabiashara! Nipo dodoma mjini. nahitaji mayai ya kuku wa kisasa minimum trei 40 kwa wiki. Anayejua supplier au yeyote ninapoweza kuyapata mayai hayo anicheki tuwasiliane. Suala la bei ni makubaliano kati ya mimi mnunuaji na muuzaji. Click to expand... Unanunua kwa bei gani boss
A aker2011 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2015 Posts 985 Reaction score 1,551 Jul 22, 2019 #3 Mkuu nipm tufanye biashara