Dodoma Nala Project

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,493
NALA PROJECT.

Kwenye Kata ya Nala hususa ni kwenye Barabara ya Mzunguko wa Mashariki inayotoka Morogoro ambayo haiingii katikati ya Mji,barabara ambayo itapitwa na Magari makubwa na Mabasi ya Mikoani(Barabara imepitia kuanzia Chahwa-Ipala-Nzuguni-Msalato-Mbalawala mpaka Nala) ni barabara kubwa ya Mita 40, lakini pia barabara hii inakutana na barabara ya Mzunguko wa Magharibi kutoka Iringa inayotoka Matumbulu-Bihawana-Zuzu-Kizota mpaka Nala hivyo zote zinakutana kwenye Singida Road kipande cha Nala Center.

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wana miradi kadhaa ikiwemo mradi wa Viwanja vya uwekezaji(Ardhi ilitengwa kwaajili ya miradi mbalimbali angalia Ramani ya Wizara)Mgawanyo wa mradi huu kama ilivyoainishwa kwenye Ramani lakini pia Dodoma Landlord Company(DLC)tunasimamia sehemu ya Mradi yenye Heka zaidi ya 55.

Mgawanyoko wa maeneo ni:-
1-Hotel matumizi yake ni Hotel na eneo lina Ukubwa wa Heka 7.
2-(Education Center)Heka 32 eneo kwaajili ya Elimu(Shule na Vyuo)eneo lina Ukubwa wa Heka 32.
3-(Hotel)Eneo kwaajili ya Hotel na ukubwa wake ni hela 8.
4-(NS)Eneo kwaajili ya Nursery School(Shule ya watoto)Ukubwa ni Heka 4.

Miundombinu.
Barabara kubwa inapita ya Singida ni Mita 150,Barabara ya Mzunguko inayotoka Morogoro ni Mita 10 na barabara za ndani pia zipo kuzunguka mradi wote Mita 15 kwa 20(kama ilivyo kwenye Ramani),miundombinu mingine kama Umeme upo jirani na Mradi na Maji pia yapo jirani.

Kama umepanga kuwekeza Dodoma hii ndo fursa sahihi kabisa kwako,wekeza kwenye maeneo ambayo yameshapangwa matumizi na Wizara lakini miundombinu ipo vizuri.

Mawasiliano:-
Kwenye mitandao ya Kijamii @DLCviwanja
Call/Whatsapp/Sms: +255 (0)625646266
Email:dodomalandlordcompany@gmail.com

Ukiridhika-TumefanikiwaView attachment 2264079
View attachment 2264081
View attachment 2264082
View attachment 2264084
 
Pic zako hazionekani kk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…