Dodoma Ya Kijani Sasa HiviNdio mkuu. hapo hapo kwenye uwanja wa sekondari. Karibu sana
πππ€£πππππππππ€£ππβ€οΈβ€οΈππUmevuta WeweNiko biharamuro unaweza kufanya usafirishaji? Nipimie 50kgs za misumali 2inch na kgs 70 za misumali ya bati yenye tred rangi ya ugolo. Kisha piga hesabu nitumie mzigo
πππ boss umevurugwa nini. Mbona hela ya nauli tu ya mzigo tayari unaweza kununua mzigo mzima. πNiko biharamuro unaweza kufanya usafirishaji? Nipimie 50kgs za misumali 2inch na kgs 70 za misumali ya bati yenye tred rangi ya ugolo. Kisha piga hesabu nitumie mzigo
Ni miti ya kupandwa (Pine/Msonobari) na zinatoka Iringa. Ni mbao zinazotumika kwa ujenzi (kenchi) na fenicha (kochi na vitanda). Urefu ni ft 12 ingawa hata ukitaka za ft 18 naweza kukuagizia kwa makubaliano.Nikirudi huko ntakuchek ni mbao pori au za kupandwa Ni ft ngapi urefu?