Sad threadDuh mume anaacha ela ya nyama anakuta mchicha, sababu unaambiwa hakua na hela ya mchezo! Tho haijustify kuondoa uhai wa mtu ila kiufupi hali ya maisha mtaani ni mbaya sana ... counseling inahitajika watu waweze kucoup na hii hali.
Mbona maelezo yapoPicha bila maelezo huenda ni tukio lililosahaulika kitambo
Serikali iingilie kati hivi VICOBA vipigwe marukufu this is too much now watu wataendelea kufa tuJeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Peter Mwakiposile kwa tuhuma za kumuua mkewe Aisha Ramadhani mkazi wa Chidachi kwa kumpiga hadi kufariki, kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani akitafuta fedha za rejesho la kikundi cha kikoba...
Iliwekwa picha tu mwanzoniMbona maelezo yapo
VICOBA vinaboa mkuu kuna mwingine toka Jana kaninunia hapa kisa hizo habari za VICOBA ni PEPO SHETANI kabisaMpaka kufikia kuua sio bahati mbaya,kuna sababu nyingi tu nyuma
For the sake of peace ukishashindwana na mtu ni bora kumwacha aende
Kuua kiumbe cha Mungu kwasababu ya mapenzi ni hukumu kubwa sana
Wanawake wanocheza vicoba wanapigwa pumbu sana ili kuipata hiyo pesa ya vicoba, ndo kama nyinyi mnaokuja na sababu kama hiziMwanaume anakuoa hakuna cha nguo wala mafuta ya kupaka... sana sana ukimpata ambaye kidoooooogo mwenye afadhali atakulipia ada tu za watoto na chakula cha home mengine utajiju...
Namuonea wivu katangulia ameepukana na tozo. Atakocho miss ni mabasi mapya 60 esta.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Peter Mwakiposile kwa tuhuma za kumuua mkewe Aisha Ramadhani mkazi wa Chidachi kwa kumpiga hadi kufariki, kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani akitafuta fedha za rejesho la kikundi cha kikoba...
Yaan umeseeeema? Emu rudia mama 50/50 hatujakusikia Ongeza sauti kidogo wale wa kule nyuma hawajasikia vizuri....Mwanaume anakuoa hakuna cha nguo wala mafuta ya kupaka... sana sana ukimpata ambaye kidoooooogo mwenye afadhali atakulipia ada tu za watoto na chakula cha home mengine utajiju. Sasa huyu mwanamke jobless na mwenye mahitaji yake muhimu ataishije bila vikundi vya kujiwekea akiba na kukopa?????
Amemaanisha kuwa unakuta mke hapati mahitaji basic anaona vicoba vinamsaidia, sio kila kitu ni 50/50.Yaan umeseeeema? Emu rudia mama 50/50 hatujakusikia Ongeza sauti kidogo wale wa kule nyuma hawajasikia vizuri....
π π πYaan umeseeeema? Emu rudia mama 50/50 hatujakusikia Ongeza sauti kidogo wale wa kule nyuma hawajasikia vizuri....