Dodoma: Photos of Benjamin Mkapa Hospital, East Africa's milestone in medical field

Pongezi sana kwa serikali angalau tunaona matokeo......anyway washulikie pia vijana ambao hawajaajiriwa pia japokuwa demand ni kubwa ila sekta zote ila afya jamani izingatiwe vijana wanazidi poteza ujuzi ....kama ilivyoshauriwa na CAG.. viva tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu on a sasa ulivyo mweupe kichwani.
Sasa hizo levels zina mantic zipi.
Yaani unatulete rates hapa!!!
I am not here to argue just to give facts. Levels determine what type of medical service can be offered and who manages the facility.

i) Level 6:Managed by National government and offers referral services for cases that can not be handled at level 5
ii) Level 5: Managed by County governments and recommend referral to level 6 and receives from level 4.

What I mean is, it is good you are upgrading your facilities, at least you are catching up to the county governments in Kenya.
 
Hebu acha hizo wewe. Who provides those levels?
Sisi tupo na:-
1. Zahanati
2. Vituo vya afya
3. Hospital ya wilaya
4. Hospital ya mkoa
5. Hospital ya kanda
6. Hospital ya rufaa

Sasa hizo levels imezitoa wapi!?
 
Hapa tunajadili hospitali iliyopo Tanzania, hayo mengine ni yako na wakenya wenzio mkajadili kule kwenu.
 
Halafu hizo levels unazozisema ni kitu gani kinafanya iwe level 5. Maana vituo vya afya na hospital za wilaya za Tanzania ni kama Apollo Hospital.
 
Muhimbili National Hosp itakua level gani kwa akili yako iyo ndogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu acha hizo wewe. Who provides those levels?
Sisi tupo na:-
1. Zahanati
2. Vituo vya afya
3. Hospital ya wilaya
4. Hospital ya mkoa
5. Hospital ya kanda
6. Hospital ya rufaa

Sasa hizo levels imezitoa wapi!?
Zahanati,Vituo vya afya na hospital za wilaya hizi ni basic health facilities. ..hakuna medical specialties humo. ...Regional hosp ndio tertiary level while zonal hosp n national hosp are highest level...specialized hosp ar designed for specific purposes at its maximum level of delivering health services, take an example of Ocean road cancer centre and kibong'oto or even mirembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki hapa ni kitu cha Afya
 
And since when organ transplants is basic surgery?it seems you know nothing about medicine

Sent using Jamii Forums mobile app
Actually I do, I happen to have a degree in Bsc. Biochemistry and Molecular biology and my passion is mathematics and computer science. Organ transplants like kidney, liver etc are simple and rarely take more than 4 hours in majority of patients.
 
Actually I do, I happen to have a degree in Bsc. Biochemistry and Molecular biology and my passion is mathematics and computer science. Organ transplants like kidney, liver etc are simple and rarely take more than 4 hours in majority of patients.
Hivi liver unachukulia poa!?
 
Those facilities available in almost all Region hospitals.
We have 30 Regions.
So if those are level 5 then we have more than 30 level 5 hospitals.
I will give you photos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…