Dodoma: Polisi wadaiwa kumdhalilisha dereva bodaboda, wamtoboa utumbo

Kumbe binadamu akikosa akili anakosa pia Ubinadamu.
Polisi wengi ni empty Kichwani.
Mungu tusaidie!!!
 
Aiseee aiseeee, hivi Polisi huu ukatili kiasi hiki kweli serikali ichukue hatua kali sana kwa polisi hao. Huu ni unyama wa hali ya juu, ikiwemo kufukuzwa kazi na kushtakiwa haraka sana na Jamhuri, huu ni ukatili uliopitiliza. It can't be. Alafu maelezo tu ya awali, Mkuu wa Polisi Dodoma anatetea polisi wake, yuko less concerned kabisa, maelezo yake tu ashapinga polisi kufanya hilo tukio.
 
Ndio maana watu wakipata mwanya wanaua au kujeruhi polisi,hakuna mtu atawaonea huruma watu wa namna hii
 
Waendelee tu kuwazalisha kina Hamza wengine halafu waje wakione cha mtema kuni huko mbeleni dadeki!
 
Na bado kwenye vigezo vya ajira wanapendekeza wenye dv 4 na 0.
 
Pole yake sana... Hapo lazima ubishani wa kijinga ulitokea...
 
Maeneo ya bar huwa wao ndio wao huwaambii kitu
Ukiangalia maelezo ya mgonjwa anaonyesha alilewa kupindukia akaenda kuparamia kinywaji Cha mtu aliyekuwa kakaa na mwanamke

Yawezekana ule ulevi ulimtuma vibaya akaanza pengine kumshika shika mwanamke yule Ndipo wenyewe wenye mtu wao wakampa kipigo Cha mbwa koko

Anasema alifika polisi hajitambui akijuaje ni polisi waliomtendea hicho kitendo? Pia kwa sababu anavuja damu sehemu za Siri na masikioni aweza kuwa alipolewa kupindukia wakamshika mashoga wenzie wengi na kumwingiza midude masikioni na kwenye makalio mfululizo Hadi kumtoboa utumbo

Kifupi Hilo linaonekana ni shoga walilishoga wakalitupa huko na pingu polisi wakaliokota likiwa mbendebende halijitambui
 
Hatari Sana [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…