Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

Miji mikuu ya nchi haipaswi kuwa na fujo kelele huwa tulivu na zaidi huwa kimya ikiganania na makao makuu ya taifa fulani na mahala pa utendaji na country administrative palaces,
':::mwl jkn hakutaka makao makuu ya aina hii, mwl alikusudiaa kuifanya Dom kama "KREMLIN"
 
Mtaka mtu wa dili ashaanza ku-force kama alivyokuwa aki-force simiyu kwenye barabara
Wakati LISSU anashambuliwa eneo lilikuwa na camera au hapana. Kama zilikuwepo zilisaidia nini?waache kuchezea Kodi zetu!!
 
Dodoma ni Makao Makuu ya nchi lazima pawe salama nawashauri wahalifu watafute shughuli nyingine ya kufanya hapa si salama tena kwa kazi zao”
Je sehemu zingine za nchi ndiyo zisiwe salama!!
 
Nchi za Afrika siku tukikubali kubadilika akili zetu ndipo chochote tunachofanya kitakuwa na msaada.Kamera pasipo wahusika na viongozi kubadilika na kuacha maigizo zitakuwa na msaada, vinginevyo zitakuwa fursa za watu kupiga hela kuanzia uwekaji wa miundo mbinu mpaka usimamizi.
 
Hadi leo bado tuuu hatujaziona
 
Wamefunga camera kwenye majengo ya serikali lakini bado baadhi ya viongozi wanazembea,wanakula rushwa,wananyanyasa watanzania,wanafanya ngono maofisini nk. Sasa wanazifunga barabarani zitasaidia nini?
Zaidi zitawanasa wanavyoomba rushwa na hao ndio watakaoanza kuzifanyia hujuma
 
Dar es Salaam napo kulikuwa na mpango kama huu kipindi fulani.
Matumizi mabaya ya fedha za mlipakodi,Lissu aliposhambuliwa walizitoa ili wasiojulikana wasijulikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…