figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Machinga wawe watulivu kwa muda huu.Wasubiri mwaka 2029 karibia na uchaguzi wa serikali za mitaa watagawiwa mahela,mikopo watapewa na hata ofisi watajengewa.They've to have a little patience, please!Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekanusha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo (Machinga) kutoka eneo la One Way kwenda Dodoma Inn kama ilivyoelezwa na wafanyabiashara hao siku ya jana.
Ufafanuzi huo unakuja kufuatia malalamiko yaliotolewa na wafanyabishara hao siku ya jana Ijumaa, 23, Agosti 2026 wakidai kuwa Halmashauri ya Jiji hilo imewafukuza katika eneo la One Way na kwenda Dodoma Inn ambapo walieleza kutokubaliana na uamuzi huo wakidai kuwa eneo hilo si rafiki kwa aina ya biashara zao.
Wafanyabiashara hao walienda mbali zaidi na kueleza kuwa eneo hilo lipo nje ya mji na ni njia ya magari makubwa yanayoenda mikoani, lakini pia halina miundombinu rafiki itakayowawezesha kufanya shughuli zao wakati wa mvua.
MY TAKE
Serikali ya CCM imepoteana.. Mifumo ya uongozi imeparalyse. Kila mtu anajiamulia kivyake vyake.. Hakuna chain of command.
Huwezi kuua watu 29.10.2025 halafu akili zikae sawa. Watawala waliojipachika madaraka watazidi kupoteana hadi 2030.
Jentroman umesahau kulog out? πNdiyo serikali haijawahi kukosea gentlemen π
Mambo mengi kipenzi changuJentroman umesahau kulog out? π
Jentroman umesahau kulog out? π
Jentroman kama jentroman π
πππππJentroman umesahau kulog out? π
MkuuNdiyo serikali haijawahi kukosea gentlemen π
Jidanganye halafu ujichanganye ndio utajua Serikali ni Mfumo wenye mizizi iliyojichimbia chini sana!Halmashauri ya Jiji la Dodoma imekanusha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo (Machinga) kutoka eneo la One Way kwenda Dodoma Inn kama ilivyoelezwa na wafanyabiashara hao siku ya jana.
Ufafanuzi huo unakuja kufuatia malalamiko yaliotolewa na wafanyabishara hao siku ya jana Ijumaa, 23, Agosti 2026 wakidai kuwa Halmashauri ya Jiji hilo imewafukuza katika eneo la One Way na kwenda Dodoma Inn ambapo walieleza kutokubaliana na uamuzi huo wakidai kuwa eneo hilo si rafiki kwa aina ya biashara zao.
Wafanyabiashara hao walienda mbali zaidi na kueleza kuwa eneo hilo lipo nje ya mji na ni njia ya magari makubwa yanayoenda mikoani, lakini pia halina miundombinu rafiki itakayowawezesha kufanya shughuli zao wakati wa mvua.
MY TAKE
Serikali ya CCM imepoteana.. Mifumo ya uongozi imeparalyse. Kila mtu anajiamulia kivyake vyake.. Hakuna chain of command.
Huwezi kuua watu 29.10.2025 halafu akili zikae sawa. Watawala waliojipachika madaraka watazidi kupoteana hadi 2030.
Salama kaka kwema aisee Hance MtanashatiMkuu
Habari yako!!!!!!
Una uchokoziOk π
πππ