Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Pole nyingi sana ziwafikie wote wanaoguswa na msiba huu.Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa,alikuwa na mimba kubwa nadhani ni complications za uzazi,Mama yake mzazi pia ni Mbunge somebody Lupembe
Eh mama na mtoto wote wa bunge ! Pole sana kwa familiaMbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa,alikuwa na mimba kubwa nadhani ni complications za uzazi,Mama yake mzazi pia ni Mbunge somebody Lupembe