Dodoma the future modern capital city in East Africa

Dodoma Will be Capital city in EA we hope so soon, Let dar remains the Business City n Dodoma Taking all Government activities, Because It's not good for both business city na Government city to be located at the same place
Unamaanisha nini Capital city in EA ?
 
Check the First United Democratic Republic of East Africa

View attachment 505204

After first Phase second phase Angola and Namibia shall join.
Wewe umetoa wapi hii ramani?
Hata kama ni ndoto sio kwa kiwango hiko duuh
PAN AFRICAN FANTASIES.
Tujenge kwanza Jumuiya ya Afrika Mashariki mengine baadaye
 
UREA??!!
Hapana kwa kweli I will riot kama wakiita hivyo.
The "Federal Republic of East Africa" au the "Commonwealth of East Africa" inatosha
 
Annael I wouldn't suggest Dodoma iwe capital city ya the "Commonwealth of East Africa" (my suggested name for the East African Federation).
Why?
Kwanza Dodoma is not centrally located in East Africa (EAC acha mambo ya Mozambique sijui na Namibia those are South African countries)
Two, Ukiangalia nchi nyingi zenye federal system, the federal capital teritory humegwa na kuhesabiwa kama eneo linalojitegemea (federal city au federal capital territory). Hiyo maanake ni kwamba Dodoma itaacha kuwa sehemu ya Tanzania na kuhesabiwa kuwa eneo la Afrika Mashariki. Nenda pale EAC watakuambia Arusha sio Tanzania. Marekani wana Washington na Nigeria wana Abuja.
 
Wewe umetoa wapi hii ramani?
Hata kama ni ndoto sio kwa kiwango hiko duuh
PAN AFRICAN FANTASIES.
Tujenge kwanza Jumuiya ya Afrika Mashariki mengine baadaye
Hayo ni mawazo yangu. Tena mawazo haya yataishi miaka mingi mno.
 
Lakini kulingana na hizi picha za Udoma, mtu aweza sema Dodoma ni porini
Wa Njaa unasemaje? Kwa akili zako fupi lazima ufirie mawazo hayo ya kitoto. Yaani wewe bado nyanya kabisa. UDOM ni chuo kikubwa East and Central Africa.
 
Wa Njaa unasemaje? Kwa akili zako fupi lazima ufirie mawazo hayo ya kitoto. Yaani wewe bado nyanya kabisa. UDOM ni chuo kikubwa East and Central Africa.
Hahahaha usinifurahishe Kaka, hichom kikiwa ndicho chuo kikubwa Africa Mashariki, basi itakuwa viwango vyetu ni vya duni ajabu
 
Hahahaha usinifurahishe Kaka, hichom kikiwa ndicho chuo kikubwa Africa Mashariki, basi itakuwa viwango vyetu ni vya duni ajabu
Ndio maana jina lako Wa njaa. Kwa maana uwezo wako ni mdogo sana. Sasa hivi sina muda wa kukujibu lakini ukitibua tu unaweza kuiona sasa JF chungu.
 
Wa Njaa unasemaje? Kwa akili zako fupi lazima ufirie mawazo hayo ya kitoto. Yaani wewe bado nyanya kabisa. UDOM ni chuo kikubwa East and Central Africa.
Iyo Dodoma kwani kila ki2 ni proposed si mtutumie city centre ya Dodoma....iyo UDOM inakaa refugee camp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…