Mwamba1961 JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 626 Reaction score 409 Nov 30, 2022 #1 Habari wasakaji wa ajira, Kuna CHIMBO LA kulala , maeneo ya Nyerere square, Karibu na msikiti wa Nungwi... Bei ni 13000/= ila vitanda viko viwili , mkiwa wawili mnachanga 6,500/=...... Location ni hiyo alama ya bluu.
Habari wasakaji wa ajira, Kuna CHIMBO LA kulala , maeneo ya Nyerere square, Karibu na msikiti wa Nungwi... Bei ni 13000/= ila vitanda viko viwili , mkiwa wawili mnachanga 6,500/=...... Location ni hiyo alama ya bluu.
M Mr kempanju Member Joined May 24, 2018 Posts 43 Reaction score 147 Nov 30, 2022 #2 Unadegree bro na wewe kama wenzio
Mwamba1961 JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 626 Reaction score 409 Nov 30, 2022 Thread starter #3 Mr kempanju said: Unadegree bro na wewe kama wenzio Click to expand... Kwann unauliza kwamba Nina degree ?
Mr kempanju said: Unadegree bro na wewe kama wenzio Click to expand... Kwann unauliza kwamba Nina degree ?