Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Sidhani kama hizo sehemu nyingine mambo yatakuwa tofauti. Serikali (CCM) itasema mchakato ulikuwa wa huru na haki, wamepokea hata mapingamizi tena wakaongeza na siku za kupokea mapingamizi hayo lakini bado walioweka mapingamizi wamekosa fursa, Demokrasia yetu imekomaa kabisa!
Sasa hivi CHADEMA/wapinzani watakuja na lipi?
=====
Uongozi Chadema Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma umeeleza kutoridhishwa na majibu ya rufaa za wagombea wake walioenguliwa kutoka kamati ya rufaa ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hayo yameelezwa leo Novemba 15, 2024 wakati Wakili Deogratius Mahinyila ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Dodoma alipozungumza baada ya kupokea majibu hayo.
Mahinyila amesema majibu yaliyotolewa na kamati yameonyesha hakuna mgombea yeyote aliyeshinda rufaa, kwa kuwa mapingamizi kutoka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi hayakuambatishwa.
Soma Pia:
Villevile, Mahinyila amesema amesikisikitishwa na askari polisi kuzunguka kila eneo walilokuwepo wagombea hao wakati wakisubiria majibu ya rufaa zao.

- CHADEMA: Baada ya Waziri wa TAMISEMI kusema Wagombea walioenguliwa wakate rufaa, tumepokea taarifa ofisi za Mitaa, Vitongoji na Vijiji zimefungwa
- Wagombea wa CHADEMA waenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kuwapatia kipato halali