Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Watanzania tuna safari ndefu sana kujinasua kutoka mikono ya mkoloni mweusi.Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Ndg. Geofrey Kiliba.
Katika mkutano huo, wanavyuo hao wamesisitiza dhamira yao ya kumlinda na kumtetea Rais Samia dhidi ya upotoshaji wowote, wakieleza kuwa uongozi wake umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo, hususan elimu, uchumi, na miundombinu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Ndg. Kiliba amewapongeza wanavyuo kwa mshikamano wao na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wa maendeleo na ukweli kuhusu jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
Hakuna shida wakisharudi nyumbani wasitusumbue juu ya ajiraWanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Ndg. Geofrey Kiliba.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mkutano huo, wanavyuo hao wamesisitiza dhamira yao ya kumlinda na kumtetea Rais Samia dhidi ya upotoshaji wowote, wakieleza kuwa uongozi wake umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo, hususan elimu, uchumi, na miundombinu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Ndg. Kiliba amewapongeza wanavyuo kwa mshikamano wao na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wa maendeleo na ukweli kuhusu jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
Washachukua fomu za kujiunga na VETA?Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Ndg. Geofrey Kiliba.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mkutano huo, wanavyuo hao wamesisitiza dhamira yao ya kumlinda na kumtetea Rais Samia dhidi ya upotoshaji wowote, wakieleza kuwa uongozi wake umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo, hususan elimu, uchumi, na miundombinu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Ndg. Kiliba amewapongeza wanavyuo kwa mshikamano wao na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wa maendeleo na ukweli kuhusu jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
Kwamba wakichagua alternative ajira watapata au mambo yatabadilika ? Tatizo wanasiasa wote ni full Kasongo hivyo ni kama Kekundu chagua hapa humu ndani ukipatia utapata zaidi ili akifunua kombe umeliwa, au hiki kilicho wazi ingawa unapigwa na kuibiwa lakini unajua unachopata (which is nothing by the way)...Wakumbuke tu wakimaliza vyuo, ajira hakuna! Na chanzo ni hao hao ccm wanao wananganya sasa kwa hivyo vi tshirt vyao. Hivyo watalazimika tena kurudi VETA kwenda kusomea ushonaji, upambaji, ufundi makenika, ufundi umeme, ufundi seremala, nk.
Mabadiliko ni muhimu kwenye jamii yoyote ile! Mpaka hapa tulipofikia, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kisiasa.Kwamba wakichagua alternative ajira watapata au mambo yatabadilika ? Tatizo wanasiasa wote ni full Kasongo hivyo ni kama Kekundu chagua hapa humu ndani ukipatia utapata zaidi ili akifunua kombe umeliwa, au hiki kilicho wazi ingawa unapigwa na kuibiwa lakini unajua unachopata (which is nothing by the way)...
Kwahio ni mwendo wa Baniani mbaya kiatu chake dawa..., na itaendelea hivi mpaka hali ikiwa ngumu zaidi ndio watu watapigana makofi kitaa na itakuwa too late (ya French Revolution yatatokea) ila mpaka hapo ni mwendo wa kila mtu anashinda mechi zake...
The only way kubadilisha haya ni alternative kuanza kuaminika na kujitahidi kueleweka....
Afu kwenye hii wanayuo wanamaanisha nini? Wanafunzi? Wafanyakazi wa vyuo au wanafunzi pamoja na wafanyakazi kwa pamoja?! Katika Hilo kundi akina nani wametoka hiyo tamko? Wafanyakazi wa chuo wa wanafunzi?! Tupate kwanza majibuKumsemea kwani yeye hana mdomo
Pamoja na report ya CAG??? 🤣🤣🤣🤣 Kuna kazi kweli!! Ndio maana wanashauriwa waende VETA,😅😅Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Ndg. Geofrey Kiliba.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mkutano huo, wanavyuo hao wamesisitiza dhamira yao ya kumlinda na kumtetea Rais Samia dhidi ya upotoshaji wowote, wakieleza kuwa uongozi wake umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo, hususan elimu, uchumi, na miundombinu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Ndg. Kiliba amewapongeza wanavyuo kwa mshikamano wao na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wa maendeleo na ukweli kuhusu jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
Subiri mtoke campus, ndio mtajua hamjuhi!Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Ndg. Geofrey Kiliba.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mkutano huo, wanavyuo hao wamesisitiza dhamira yao ya kumlinda na kumtetea Rais Samia dhidi ya upotoshaji wowote, wakieleza kuwa uongozi wake umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo, hususan elimu, uchumi, na miundombinu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Ndg. Kiliba amewapongeza wanavyuo kwa mshikamano wao na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wa maendeleo na ukweli kuhusu jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
Wana akili ungetemea wamwunge mkono nani zaidi ya Samia? Hao nyumbu? Wale wasomi wanaelewa mamboWanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Ndg. Geofrey Kiliba.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mkutano huo, wanavyuo hao wamesisitiza dhamira yao ya kumlinda na kumtetea Rais Samia dhidi ya upotoshaji wowote, wakieleza kuwa uongozi wake umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo, hususan elimu, uchumi, na miundombinu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Ndg. Kiliba amewapongeza wanavyuo kwa mshikamano wao na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wa maendeleo na ukweli kuhusu jitihada zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita.
Mabadiliko ya kweli hayatatokana na wanasiasa wa karne hii ambao ni selfish na wanajali matumbo yao na sio watu wao wala kufanya changes na hili sio Bongo tu ni Worldwide tokea kwa kina Trump mpaka mjumbe wa nyumba Kumi (wamekuwa Populists) wanajali short term results na matumbo yao...Mabadiliko ni muhimu kwenye jamii yoyote ile! Mpaka hapa tulipofikia, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kisiasa.