wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
2025 bado mbali sana. Ukiweka na uviko 19 ndiyo kabisa mtu anaweza akaishia njianiWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Aha kumbe ndo ulivolelewa? Unakaa na hasira na watu? Acha upumbavu hata ukimtukana mama yangu hata mama yako ni mwanamke pia! Unajidharirisha mwenyewe!Namaanisha mwendakuzimu.
Halafu mimi huwa silali na deni, mpumbavu mamako kenge wewe.
Waziri mkuu ni mjumbe wa kamati kuu kama alivyo spika.Kwani majaliwa anacheo gani huko Ccm?
Shubaamiti.Aha kumbe ndo ulivolelewa? Unakaa na hasira na watu? Acha upumbavu hata ukimtukana mama yangu hata mama yako ni mwanamke pia! Unajidharirisha mwenyewe! Unahangaika na wafu maana hadi leo umawaza wafu! Nakuhakikishia wewe ni mtoto wa kuzimu mda utaongea! Pumbavu sana na kizazi chako kilaaniwe!
Nampenda mama lakini inaonekana ccm bado hawajajifunza kitu kwa kifo cha mwendakuzimu.
Mungu ndiye anayejuwa kesho yetu, huenda yeye Majaliwa asifike 2025 au tukafika 2025 Rais akiwa ni Dr Mpango.
Waache hizi kufuru kwa sababu ya kiburi cha uzima.
Huyu ataendelea kuweweseka maisha yake yotePole Sana Ndugu Mjane?
Nenda Chato .
Mitano tena, Kazi iendeleeWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo.
Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mawaziri na naibu mawaziri.
Majaliwa amewataka mawaziri na naibu wao kuwa wasemaji wakubwa wa mafanikio ya Serikali ili itakapofika 2025, Samia Suluhu Hassan (Rais) apite na kusema kidogo tu.
"Wambieni wananchi kuhusu mazuri yanayofanywa na Serikali hii, tambueni msimamo na mtazamo wa Rais ili mkawe wasemaje zaidi yeye akija awe na maneno machache ya kueleza," amesema.
Waziri Mkuu amewataka mawaziri na naibu wao kufanya kazi kwa mashirikiano na kuheshimu kauli za viongozi wakuu kwani siyo kila agizo lazima waandikiwe barua ndipo watekeleze.
Katika hatua nyingine Waziri Mkuu amewataka viongozi hao kuwa mfano kwa mienendo yao wakianzia na mavazi, kauli na kutojiinga katika mambo yatakayowafanya wajadiliwe.
TetetePole Sana Ndugu Mjane?
Nenda Chato .
Vicky Kamata Hadi koo lilikauka kumwimbia Magu akiwa hai. Ile kuondoka Tu eti alikuwa katili. Mama atapita na kuwa Rais hata vipindi 4 kama hawa wanafiki CCM wataendelea kutawala.Ccm mwenyekiti ndio Alpha na Omega, na unafki ndio sifa ya kuwa mwanaccm.
Ni marehemu kumbe? Siyo hayati?Atakusumbua sana huyu marehemu! Sasa jiulize mufu anakusumbua mzima itakuwame? Unapost picha za mwanaume! Wewe kubali tu kama wewe ni mtoto wa kiume basi unafaa uwe shoga tu maana unatabia zote za kike! Mwanaume huwa hafatilia mambo za watu! Usipobadilika Magufuli atakusumbua mpaka unazeeka! Mwenzio kaacha urithi na mali za kutosha wewe uko hapa unafanya umalaya wa kuropoka ropoka tu! Ili ujifariji huku unateseka!
Kama ilivyo mkuchika hivyo wasitufokeeWaziri mkuu ni mjumbe wa kamati kuu kama alivyo spika.
Ninafikiri wangetumia demokrasia na mkutano mkuu wa CCM uchague mtu wanayemtaka otherwise kwa njia hii wanajiwekea maadui wenyewe na chama ni rahisi kugawanyika. Ila kwa vile CCM in ile ile mama atapita tu maana uzuri CCM na System ni kitu kimoja.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo...
Kwa sisi team jpm huo upinzani wa ndani ndiyo ulio tuletea Mtu kamaKutatokea upinzani ndani kwa ndani ambao ni hatari Kwa mama kuliko wa vyama pinzani....naona giza mbele ila Mungu atatuvusha salama. ....