Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wananchi wa Chamwino kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi wao ambao watawasaidia katika kuwaletea maendeleo.
Waziri Ndejembi ameyaeleza hayo leo Jumatano Novemba 27, 204 mara baada ya kushiriki zoezi la upigaji kura katika kituo cha Sokoine kijiji cha Chamwino Ikulu wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
PIA SOMA
- LGE2024 - Waziri Ndejembi ajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Dodoma