Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kwa wale waliobahatika kufika Windhoek, kuanzia ukame, tambarare na hali ya hewa vinalingana kabisa na Dodoma, hadi ukavuukavu.
Nilipita Dodoma last week kuna maeneo kama unaelekea udom, hazina hadi kule makao makuu ya mahakama, kuna vigorofa vingi vinaibuka na kuna uwezekano pakafanana au hata kuipita windhoek ndani ya miaka 30 ijayo.
Hii ni kwasababu Dodoma kutakuwa na watu wengi zaidi kwasababu ni katikati ya nchi na wafanyabiashara na mashirika mengi yatahamia pale. Dodoma imepangika vizuri sana, ni suala la kuweka barabara tu ila mipango miji wamejitahidi. shida ni maji, nilisikia kama wataunganisha yale yanatoka ziwa victoria, wakifanikiwa hili kazi imeisha.