Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maghala yako Liwale. Huko Bei hizo ni Chocho kwa Chocho vijijini... Kuzikusanya kwa wakulima. Wamakonde washapagawa huko Mtwara muda huuMaghala yako wapi? Dar au?
Uko sirias mkuu? Nakuachia namba inboxMkuu twende aisee
Tushirikiane mkuu unachokijua na ninachokijua. Tunashare idea tunapata jibu.. share na sisi hata uzoefu wako wa mwaka Jana.Nakushauri huo utafiti wako usiishie hapo endelea kufuatilia kwa uzuri utakuja kunishukur
Uko sirias mkuu? Nakuachia namba inbox
Hapa nilipo mpakani mwa mkoa wa Ruvuma na mtwara, korosho kangomba 1,200 mpaka 1,300. kwenye maghala unakouzia bei zinacheza siyo zaidi ya 1,950 ukitoa makato yote ya halmashauli pamoja na maghala (250-300) utapokea 1,700 - 1,750 kwaiyo faida kwa kila kG1 ni 400-450, Kama utanunua mwenyewe kwa mkulima faida ni 500-550, kwasababu ukinunu kwa kangomba na ukauza ghalani (kwenye mzani) kilo zinaongezeka zaidi ya zile ulizopima kwa kangomba.
Vilevile ili uzipate korosho kwa wingi na kwa urahisi inabidi uwatafuate watu wazoefu wa hizo kazi katika kijiji husika wakununulie korosho vinginevyo huwezi pata korosho za kutosha kwa muda muafaka kama ni mgeni labda uje na utofauti katika bei.
Ruangwa Kijiji kimoja kinaitwa likunja. Kuna chinga kanipa dira hapa..Kijiji gani kimoja kwa jina wanakouza kilo buku kaka?
Gunia za kilo 100 zikowa nane Tisa si unazichimbia chini ya magunia ya maembeKilo 1000,utalipa wakusanyaji kila kilo 200,usafirishaji,mifuko bado ushuru utalipa 175 kwa kilo,piga hesabu mkuu kama utapata faida ingia mzigoni.
Uzuri kama una mtaji mkubwa na faida itakua kubwa.
Good testimonials.Hapa nilipo mpakani mwa mkoa wa Ruvuma na mtwara, korosho kangomba 1,200 mpaka 1,300. kwenye maghala unakouzia bei zinacheza siyo zaidi ya 1,950 ukitoa makato yote ya halmashauli pamoja na maghala (250-300) utapokea 1,700 - 1,750 kwaiyo faida kwa kila kG1 ni 400-450, Kama utanunua mwenyewe kwa mkulima faida ni 500-550, kwasababu ukinunu kwa kangomba na ukauza ghalani (kwenye mzani) kilo zinaongezeka zaidi ya zile ulizopima kwa kangomba.
Vilevile ili uzipate korosho kwa wingi na kwa urahisi inabidi uwatafuate watu wazoefu wa hizo kazi katika kijiji husika wakununulie korosho vinginevyo huwezi pata korosho za kutosha kwa muda muafaka kama ni mgeni labda uje na utofauti katika bei.
Hawalipi hapo hapo wana subiri mnada ufanyike ndipo waweze kulipa.Sio mbaya, kwahiyo ukipeleka huko ghalani ni una lipwa hapo hapo ama ni kusubiri tena?
Kwa mwaka jana bei za mwisho mwisho kabisa kangomba 1,000 na mnadani ziliuzwa 1500-1600. Hizo ndizo bei za December mwishoni hadi January, Bei za kufungia msimu.Good testimonials.
Hapo ulipo, kwa Bei ya mwaka Jana iligota kias gan kipindi korosho zinakaribia kukata kabisa mashambani
So upepo wa mwaka huu unaonekana umekAA KIhasara sana kama msimu ndo unaanza na Bei ya kulalia. Hawa broker ni wahindi au?Kwa mwaka jana bei za mwisho mwisho kabisa kangomba 1,000 na mnadani ziliuzwa 1500-1600. Hizo ndizo bei za December mwishoni hadi January, Bei za kufungia msimu.