M Mpigaji JF-Expert Member Joined Feb 6, 2011 Posts 384 Reaction score 42 Aug 9, 2012 #1 Kwa mara nyingine tena Serikali imepigwa mweleka katika kesi iliyofungua dhidi ya aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italia.Nini maoni yako kuhusu weledi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini na ile ya mawakili wa serikali??
Kwa mara nyingine tena Serikali imepigwa mweleka katika kesi iliyofungua dhidi ya aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italia.Nini maoni yako kuhusu weledi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini na ile ya mawakili wa serikali??