Does GPA matter katika kupata scholarship Norway au France?

Atlantis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
383
Reaction score
513
habari ndugu zangu, nimemaliza chuo kikuu mzumbe so niko ktk michakato ya kutafuta scholarship ulaya, hasa Norway ma France. naomba msaada kwa yeyote mwenye knowledge na hivi vitu, je GPA inachukua nafasi gani katika michakato hii? mimi nina GPA 4.5 (BBA - PROCUREMENT AND LOGISTICS MGT.)
 
Unakuta GPA 4.5 alafu ni zile za kumeza(kukariri). Mara nyingi gpa sio kigezo, ila personal attributes km confidence & wit ya mtu. Niliwahi pata ya mastets na gentleman yangu na wenye gpa za 4 wakakosa.

Ila ilikua paper application & oral interview, kila la kheri
 
Ili kupata udhamini(scholarship) ktk nchi zilizoendelea kuna vitu vingi wanaviangalia, kikubwa kikiwa personal statement, previous performance (GPA), English fluency na general application yako ilivyo na ushawishi. Gpa pekee c kigezo cha kupata scholarship. Scholarships ziko nying sn ukijituma kuzitafuta utazipata, mojawapo ya Norway ni Qouta- scheme scholarships.
Kila la kheri.
 
asante sana mkuu, kwa mfano kama nna amost of the attributes ulizozitaja what are the chances of getting one, are they too minimal au la
 
Ili kupata udhamini(scholarship) ktk nchi zilizoendelea kuna vitu vingi wanaviangalia, kikubwa kikiwa personal statement, previous performance (GPA), English fluency na general application yako ilivyo na ushawishi. Gpa pekee c kigezo cha kupata scholarship. Scholarships ziko nying sn ukijituma kuzitafuta utazipata, mojawapo ya Norway ni Qouta- scheme scholarships.
Kila la kheri.

also nmesikia hii quota scheme inahitaji kuwe na affiliations ya Chuo unachotoka na kile unachotarajia kwenda huko Norway. Naona kama kutakuwa na urasimu Fulani hivi na kupeana kwa kujuana on our side
 
Back
Top Bottom